Header Ads

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWAGILIAJI MTIBWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi, Mvomero mkoani Morogoro  Agosti 3, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa Mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho,
Taswira ya Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu HassanMatukio mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa.

Matukio mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa
Pich ya pamoja.
Picha ya pamoja na Rais
Viongozi waakiagana na Rais Samia Suluhu Hassan
 

No comments

Powered by Blogger.