Header Ads

KIAZI KILICHOVUNWA KIJIJI CHA KASEKELA MKOA WA RUKWA KIKIWAPA DOLE WAKULIMA WOTE

Mkulima wa Kijiji cha Kasekela kilichopo Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa akiwa ameshika kiazi chenye mfano wa kiganja cha mtu huki kikionesha ishara ya kuwatakia mafanikio wakulima wote nchini kwa kuonesha dole tupu. 

No comments

Powered by Blogger.