Header Ads

WIZARA YA KILIMO YASISITIZA UBORA NA USALAMA WA MAHINDI YA TANZANIA

Muonekano wa mahindi ambayo tayari yamevunwa

............................................

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Wizara ya Kilimo Tanzania kupitia mamlaka ya afya ya mimea na viuatilifu (TPHPA), imetoa taarifa juu ya ubora na usalama wa mahindi yanayouzwa katika masoko ya Kanda ya Afrika Mashariki na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC) kutoka Tanzania kuwa ni salama na yanazingidatia ubora.

 

No comments

Powered by Blogger.