MRADI WA MAGEUZI YA SEKTA YA MAZIWA KUPITIA WIZARA MIFUGO WATAMBULISHWA
Muonekano wa Ng'ombe wa maziwa aliyetunzwa vizuri.
.............................................
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI kupitia
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Machi 17, 2025 jijini Dodoma imetambulisha mradi mpya wa kisekta wa mageuzi ya sekta ya
maziwa C-SDTP wenye thamani ya Dola za
kimarekani milioni 174.3 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni41 na milioni 530. 
Ng'ombe wa maziwa akiandaliwa tayari kwa kukamuliwa.



No comments