Header Ads

KIJUE KWA KIFUPI KILIMO CHA ZAO LA MPIRA WILAYA YA MUHEZA MKOANI TANGA

Muonekano wa shamba la zao la mpira
 

........................................

 KILIMO cha zao la mpira hapa nchini kinaendeshwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)

 

SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC) linaendesha kilimo cha zao la mpira mkoani Tanga wilaya ya Muheza, shamba hilo lina ukubwa wa hekta 790 mahususi kwa ajili ya kilimo hicho ambao hutumika kuzalisha vitu mbalimbali kama matairi ya magari, matairi ya pikipiki, viatu, mabegi na bidhaa nyingine nyingi.

Eneo lililotengwa kwa ajili ya kilimo hicho ni Kihuhwi ambapo shamba la Bwembwera lenye ukubwa wa hekta 2,300. Uzalishaji wa mpira kibiashara bado haujaendelezwa hapa Tanzania kiujumla, Uzalishaji wa Mpira katika Tarafa ya Bwembwera ni mkubwa na kama utaendelezwa bidhaa nyingi zinazotokana na mpira zitazalishwa.

Kusoma zaidi Fursa zote za Uwekezaji zinazopatikana katika Wilaya ya Muheza Tafadhari pakua hapa( fursa za uwekezaji MUHEZA.pdf) Na (SHUGHULI ZA UWEKEZAJI.pdf)


No comments

Powered by Blogger.