RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE, KITAIFA 2024 JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wakulima, wafanyabiashara,
wageni kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane ambayo Kitaifa yamefanyika katika
viwanja vya Maonesho hayo, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.
Moja ya bustani (vipando)
zinazotumia mbolea za ndani zikiwa zimestawi vizuri katika viwanja vya Maonesho
ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa hundi kwa vikundi
25 vya vijana wa BBT Mifugo yenye thamani ya shilingi 1,101,687,500/- wakati wa
kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima NanenaneMaonesho ya Wakulima
Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya
kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Kiwanda cha kuunganisha Matrekta katika eneo
la Nzuguni wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya
kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo, Mtumba Jijini Dodoma
wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana
na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini
Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya
nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mfano wa Ufunguo Waziri
wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kama ishara ya makabidhiano ya Zana za mbalimbali
za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya kulimia 200 wakati
wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08
Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria Makabidhiano
ya Zana mbalimbali za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya
kulimia 200 wakati wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini
Dodoma

No comments