Header Ads

RAIS SAMIA AJIONEA NAMNA YA KUHIFADHI NYAMA INAYOUZWA NDANI NA NJE YA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia jinsi mfanyabiashara alivyohifadhi nyama ya ng’ombe  ambayo anaiuza ndani na nje ya nchi, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Tutunzane, Mvomero mkoani Morogoro  Agosti 03, 2024.

No comments

Powered by Blogger.