WAZIRI WA KILIMO HUSSEIN BASHE AKIMUELEZA RAIS SAMIA KUHUSU UZALISHAJI WA MBEGU UNAOFANYWA NA ASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusu uzalishaji wa mbegu
unaofanywa na Wakala wa Uzalishaji wa Mbegu za Kilimo (ASA) Kilosa Mkoani
Morogoro Agosti 3, 2024.
Muonekano wa mbegu zilinazozalishwa na ASA zikiwa kwenye mifuko malumu ya kuhifadhia mbegu.




No comments