RAIS SAMIA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WANAOSHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZINAZOLIMA KAHAWA BARANI AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Februari 22, 2025.
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akiwa kwenye mkutano huo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.Mkutano ukiendelea








No comments