Header Ads

TADB, SAGCOT TANZANIA WASAINI MAKUBALIANO YA SH.BILIONI 100 KUWEZESHA WAKULIMA



BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na SAGCOT Machi 5, 2025  kwa pamoja wamesaini makubaliano ya kuwezesha uwekezaji wa fedha zaidi ya Sh. Bilioni 100 kwa wakulima zaidi ya 100,000 nchini Tanzania kupitia upatikanaji wa mikopo.

No comments

Powered by Blogger.