Header Ads

TMX YAWEZESHA MAUZO YA TANI 34,335 ZA KAHAWA ZENYE THAMANI YA SH.BILIONI 195

Kahawa ikiandaliwa vizuri baada ya kuvunwa.

...............................................

Na Mwandishi Wetu

Ripoti ya mauzo ya mazao ya biashara Kupitia mfuko wa TMX imeonesha mpaka sasa mfuko huo imewezesha mauzo ya kilo 34,335,095 za kahawa ya wakulima  wa Tanzania zenye thamani ya Sh Bilioni 195 na milioni 200.

No comments

Powered by Blogger.