Header Ads

HARAKISHENI MCHAKATO WA MBEGU ZA ASILI KUTAMBULIWA,KISERA, KISHERIA - MWANYIKA


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika amesema kuwa kuja haja kubwa ya serikali kuzitambua mbegu za asili kwani zina umuhimu mkubwa ama sivyo zitapotea kabisa.

Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo wakati kamati hiyo ilipokutana na kikosi kazi cha wakulima bungeni Dodoma Aprili 18, 2025, kinacholitaka Bunge litunge sheria ya kuzitambua mbegu hizo za asili.

No comments

Powered by Blogger.