Header Ads

NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. MNYETI AKABIDHI MITAMBA 10 WA MAZIWA MISUNGWI MWANZA

 

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti, amefanya makabidhiano ya mitamba 10 kwa kikundi cha Umoja wa Mapadri Tanzania (UWAMATA), jijini Mwanza katika shamba la Misungwi mkoani humo.

No comments

Powered by Blogger.