PROGRAMU MENEJA- TOAM: KILIMO IKOLOJIA HAI KUMALIZA CHANGAMOTO NGUVU ZA KIUME IFIKAPO 2050
........................
Na Mwanamkuu Mwandoro,Tanga
WANANCHI mkoani Tanga wametakiwa kujitokeza kwenye maonesho ya siku ya chakula duniani yanayoendelea katika viwanja vya usagara jijini hapa ili kujifunza ikolojoa hai ambayo ni bidhaaya mabaki ambayo haina madharaya mwili kwa binadamu.
Akizungumza na waandishi wa habri katika banda la kilimo Ikolojio Hai Programu Meneja wa Kampuni ya TOAM, Paul Chilewa amesema kuwa katika banda la kilimo ikoloji hai kuna bidhaa za mbolea, viwatilifu ,mbengu za asili na bidhaa zilizozalishwa kutokana na kufuata mnyororo wa thamani, na kuthibithishwaa kupitia Kilimo Ikolojoa Hai na kukubakilika Afrika Mashariki.
Amesema TOAM pamoja na wadau mbalimbali walioshiriki katika maonesho wakishirikiana na Wizara ya kilimo wanatekeleza mkakati wa kilimo kolojia hai wa mwaka 2023 hadi 2030 ambao ni pembejeo hai zinawafikia wananchi ambapo una vipaumbele vifufaatavyo kipaumbele chanza ni kuhakikisha pembejeo hai,mbolea hai,viwatilifu hai na mbengu zinawafikia walikuma kwa wakati.
Aidha Chilewa ameongeza kuwa kuna wadau ambao wanatengeneza mbolea na viwatilifu hai ambao ni TPPL mbolea ambayo haiachi mabaki kwenye mbegu ambapo kwa Tanga ni muhimu kwa mfano inatumika kwa miembe na matunda mengine kwani ukipiga dawa ina tabia kuacha mabaki ya kimikali lakini pia haiathiri udongo , ambayo ina madhara kwa watumiaji hivyo ni vyema kutumi teknolojia na bidhaa ambayo haina madhara kwa kawa afya ya mlaji ili kufikia lengo la 2050 tuwe na afya bora tupate faida na afya bora kwa kila mtanzania.
Pamoja na hayo Chilewa amesisitiza wananchi waweze kutumia bidhaa ambazo hazina madhara zinatokana na Kilimo Ikolojoa Hai kwani mbolea ambayo haiachi mabaki ya sumu kwenye mbegu ili isiathari afya ya mlaji.
Nae mngunduzi wa mbolea inayotumia miamba pekee ambayo inarutubisha udongo Donald Mwakamele ambaye yupo kwenye banda la Ikolojoa Hai amsema mbolea hiyo inarutubisha miamba kutokana na uhalisia tangu uumbaji wake ambapo unarudisha udongo katika uhalisia wake.
"Endapo mbolea hii itatumika itasaidia kumaliza kabisa changamoto ya ukosefu wa nguvu za kiume kwa vijana wetu kwani limekuwa tatizo kubwa kwa jamii ambalo husababishwa na ukosaji wa virutubisho muhimu katika vyakula wanavyo tumia", amesema Mwakamele.
Mwakamele ameongeza kuwa mawe hayo yanarutuba yote ambayo inarutubisha udongo kwa kiwango kikubwa kwani yana vitamini na virutubisho vyote ambapo kiwanda hicho kinapatikana songwe ambayo imezinduliwa na mwenge wa uhuru, kwani ubora wake mzuri zaidi kwamba inefanya vizuri katika mikoa ya Njombe ,Songwe Mbeya na Moshi Kilimanjaro.
Mngunduzi wa mbolea inayotumia miamba pekee ambayo inarutubisha udongo Donald Mwakamele, akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho hayo.
Muonekano wa banda la Kilimo Ikolojia kwenye maonesho hayo.




No comments