MAREKANI TAIFA LINALOONGOZA DUNIANI KWA KILIMO CHA MAHINDI
Marekani (USA) ni Taifa linaloongoza kwa kilimo cha mahindi duniani imefahamika.Licha ya kuwa na tekinolojia bora wakulima wa zao hilo nchini humo wamekuwa wakitumia mbegu Bora na za kisasa zenye uwezo wa kuvumilia ukame, magonjwa na changamoto zingine na kujikuta wakipata mavuno mengi tofauti na hapa nchini ambao wakulima waliowengi wanalima kilimo cha kizamani huku wakitumia mbegu duni.



No comments