UTENGENEZAJI WA MBEGU ZA MIGOMBA (BANANA TISSUE CULTURE)
Migomba (ndizi) ni zao linalolimwa sana nchini Tanzania kwenye mikoa ya Kagera, Mbeya, na Kilimanjaro na baadhi ya mikoa mingine ambayo inalima zao hilo kwa uchache.Biotekinoloji imewezesha utengenezaji wa mbegu za migomba ambazo utafiti unaonesha kuwa migomba iliyozalishwa kupitia mbegu inauwezo mkubwa wa kupambana na magonjwa na kusitahimili ukame, pia inatoa matunda mengi zaidi na kumuwezesha mkulima kuinuka kiuchumi.



No comments