Header Ads

TPHPA YATUMIA TEKNOLOJIA YA UNYUNYUZIAJI VIUATILIFU MASHAMBA YA VIJANA KWA KUTUMIA DRONE DODOMA

Kikosi kazi kutoka Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kikiendelea na matumizi ya teknolojia ya unyunyiziaji wa sumu (viuatulifu) kwa kutumia ndege nyuki (drone) kwenye mashamba ya programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT), Chinangali, Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.