MAUZO YA KOROSHO YAONGEZEKA KUTOKA TANI 254, 500 HADI TANI 410,000
Muonekano wa korosho baada ya kuvunwa tayari kuingia sokoni
...........................................
Na Mwandishi Wetu
Ripoti ya mauzo ya korosho kupitia minada ya msimu wa mauzo
wa mwaka 2024/ 2025 imeonesha ongezeko la mauzo ya zao la korosho kutoka tani
254, 500 kwa mwaka (2023-2024) hadi tani 410,000 kwa mwaka 2024/ 2025 ambapo
ongezeko hilo limechangiwa na uzalishaji wa korosho nchini kuongezeka.



No comments