Header Ads

MFUKO WA IFAD KUIPATIA TANZANIA DOLA MILIONI 74 KWA AJILI YA KILIMO

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MFUKO wa Kimataifa wa maendeleo ya kilimo (IFAD) untarajia kiipa Serikali ya Tanzania dola milioni 74 za Marekani sawa na Sh. Bilioni 195 na Sh. Milioni 950 kwa ajili ya mazao na programu ya kutoa suluhisho la kifedha kwa wakulima wadogo n mirdi ya maendeleo vijijini. 

No comments

Powered by Blogger.