Header Ads

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIAGIZA KAMPUNI YA GDM KUWA LIPA WAKULIMA WA KAHAWA RUNGWE, AIPA SIKU 14.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Kampuni ya GDM kuwalipa Wakulima wa Kahawa wa Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha siku 14.

No comments

Powered by Blogger.