Header Ads

TFRA, TAASISI ZA UTAFITI WA KILIMO ZAJADILI MASHIRIKIANO UDHIBITI WA MBOLEA

Viongozi wa Taasisi za Utafiti wa kilimo zilizo chini ya Wizara ya Kilimo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kuzungumzia udhibiti wa mbolea.

....................................................................

Na Mwandishi Wetu

Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imekutana na kufanya mazungumzo na Taasisi za Utafiti wa kilimo zilizo chini ya Wizara ya Kilimo kwa lengo la kujadili ushirikiano baina yao katika masuala ya udhibiti wa mbolea hususani katika kufanya tafiti na majaribio ya mbolea zinazokusudiwa kusajiliwa nchini.

No comments

Powered by Blogger.