TMA: MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 25 NCHINI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika Mikoa 25 Nchini kuanzia Machi 11, 2025.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo imeeleza
Mikoa itakayo pata mvua ni Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu,
Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga,
Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi,
Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na
Pemba.
Aidha Mamlaka hiyo imeeleza kuwa kiwango cha athari
zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.



No comments