SHILINGI MILIONI 259 ZATUMIKA KUNUNUA NDEGE NYUKI KWA AJILI YA UVUVI ZIWA VICTORIA
Muonekano wa Ndege Nyuki ikiwa angani
..........................................
Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetumia kiasi cha Shilingi milioni 259 kwa ajili ya ununuzi wa ndege nuki kwa ajili a usimamizi wa shughuli za uvuvi kwenye Ziwa Victoria ikiwemo kukusanya taarifa za shughuli za uvuvi na kudhibiti shughuli za uvuvi haramu katika ziwa hilo.



No comments