BENKI YA CRDB NA FAO WAMEINGIA MAKUBALIANO KUWEZESHA KILIMO STAHIMILIFU
Mkataba wa makubaliano hayo ukioneshwa.
...................................
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo kwa pamoja wamesaini makubaliano ya ushirikiano kuwasaidia wakulima wadogo nchini Tanzania kufanya kilimo stahimilivu kwa mabadiliko ya tabia nchi na kupunguza vihatarishi.



No comments